WAP Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

FRIENDLYCLUB - Topics
Create Your Own App Store

* FRIENDLYCLUB > Topics


Subject: Ndoa ya mkeka!
Replies: 8 Views: 1108

thecuter 13.01.12 - 08:33am
Two guys wanaishi kwny ghetto moja, ally na omary, ally ndo mwenye chumba alimkaribisha rafiki yake omary, waliishi pamoja ila omary alikuwa na glfrnd wake,huyo msichana huwa anakuja ghetto na sumtym anawapikia chakula,kuosha vyombo na kurudi kwao, cku yacku akaja kumtafta omary, kwabahat mbaya omary alikuwa hayupo kaenda sokot kununua vi2 vyakupika, alivyokuja akamkuta ally naye anaandaa jiko huku akimsubiri mwenzake..!
Dada kafika thn akajibwaga kitandan huku ally akiwa kwny kochi, ghafla wazazi wabinti wakatokea nakundi lawa2,wakisema 2mechoka mwanao kila cku a2lii nyumbani, wakagonga nakumkuta mwanaye yupo juu yakitanda naally kwny kochi, likawa fumanizi nandoa yamkeka ikafuata, wazaz wabinti walikuwa hawamjui bf wa mtoto wao kwahy wakadhan ndo ally, ndoa yamkeka ikafungishwa baina ya ally namtoto wakike..! Omary karud wa2 washamaliza...! Je ungekuwa ndoww kuozeshwa mpenzi warafiki yako au rafiki wampenzi wako ikiwa wazaz hawakutaka kuelewa hl? Wazaz wanachokitambua ni ALLY na binti yao tu? *

thecuter 7.03.12 - 02:45pm
Hahahahaha kama nimzuri oa bt kama c' mzuri muolee 2 rafiki yako..then ahame naye mbali nahuo mtaa *

ladykeys 13.06.12 - 09:42am
hapo hakuna kuoleana awe mzuri ama mbaya ishakula kwako labda umpe talaka then mshkaji wako aoe
*

thecuter 16.06.12 - 11:04am
Asa Kwan Utampa Talaka C'ku Hiyo Hiyo? C'lazima Ukae naye kwanza ili uwe na sababu nahy talaka!? *

ladykeys 17.06.12 - 12:59pm
kwani talaka lazima ukae nae mwaka hujawahi ona mtu aoa mchana usiku atoa talaka, sasa ukisema ukae nae si utajikuta bahati mbaya mnashiriki tendo la ndoa then hata kufall in love unaweza ukafall then ikaleta tabu kwa rafiki yako
*

thecuter 17.06.12 - 04:19pm
Hahahaha we unadhani wazazi watakubalije wakuozeshe leo hii thn umpe talaka na wao walikuwa wanajua kila c'ku we ndo unatoka na binti yao? *

ladykeys 20.06.12 - 11:51am
hamna bana watakuelewa *

ladykeys 20.06.12 - 11:57am
sasa unadhani utaishije na mke usiempenda
*

thecuter 20.06.12 - 08:52pm
Okay kimfano ndo ingekuwa we ndo unaozeshwa kwa rafiki wa mchumba wako, Ungefanyaje ili kuweka mambo sawa? *


* Reply
* FRIENDLYCLUB Forum


Search:
topics replies


* FRIENDLYCLUB

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store