WAP Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

FRIENDLYCLUB - Topics
Create Your Own App Store

* FRIENDLYCLUB > Topics


Subject: Ungefanyaje?
Replies: 4 Views: 618

thecuter 27.12.11 - 09:21am
Jane alikuwa nimwanafunzi wachuo, wakati akiwa anasoma hapo chuo alijikuta akimpenda kijana wadarasa tofauti naalilokuwa akisoma, moyo ulianza kupenda taratibu kadri cku zilivyokuwa zikienda, marakwamara jane alimwona kijana aitwaye james akiwa namarafiki zake wakati wabreak, kwenye tea breakfast naalikuwa akimtazama japokuwa james hakujua hilo. Miezi ikasogea baadaye ndoto ya jane ilifanikiwa kumnasa james nawakafungua ukrasa wamapenzi moto moto, likizo jane alimkaribisha mpenzi wake kwao naakamtambulisha kwamama kuwa alikuwa rafiki yake, baadaya kumaliza chuo james aliendelezwa kimasomo kwakuchukuliwa nakaka yake aishiye ng'ambo nakwenda kumsomesha, mapenzi hayo hayakuisha kwn walikuwa wakiwasiliana kwanjia yacm marakwamara japokuwa ilimuumiza xna jane kuwa mbali nampenzh wake hy, miezi minane ikapita jane aliibia cm akawa kapoteza namba zajames nahawakuwasiliana tena, hapo mtaani kunakijana alionyesha nia yakumuoa jane akaenda kuongea nawazaz wake namambo yakawa sawa japokuwa jane hakumpenda xna, cku yacku jane alikolea kimapenzi kiac ambacho kilimfanya amsahau james, alivalishwa pete baada km miezi sita kupita ikiwa nimwaka namiezi kadhaa tangu james aende kusoma, kijana aliyemchumbia jane sasa anatangaza ndoa, jane anajiandaa kwenda kazini anaambiwa nje kunamgeni wake anamuulizia, anatoka nakumkuta nijames amerudi kutoka masomoni, james yupo tayari kuendeleza penzi lao wakat jane tayari kashachumbiwa, je achukue uamuzi gani ikiwa james ndiyokijana aliyempenda kupita maelezo lakin anamchumba kwamda huu? *

classyk5 12.01.12 - 04:22pm
daah! bt cz alishamsahau james amwambie tu ukwel mtoto wa watu ajue pa kuanzia.. *

thecuter 12.01.12 - 08:22pm
Unajua kila akimtazama jams anakumbuka jinsi anavyompenda, nabado anajihic km anampenda..! atafanyaje hapo? *

lolay89 23.05.12 - 09:42am
Jane alitakiwa kuongea kwanza na james na ajue ksa kizima. *

thecuter 16.06.12 - 11:07am
Mmh Wazaz Washaamua aolewe na hy na hawamjui jams, we unaona ataligeuzaje hilo jambo? *


* Reply
* FRIENDLYCLUB Forum


Search:
topics replies


* FRIENDLYCLUB

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store