WAP Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

FRIENDLYCLUB - Topics
Create Your Own App Store

* FRIENDLYCLUB > Topics


Subject: Maisha na mapenzi
Replies: 12 Views: 1217

thecuter 27.12.11 - 09:00am
Macho ckuzote ndo tochi yamoyo kupenda, moyo ukipenda huwa hautamani kuacha hata cku moja, sasa unampenda bby wako kupita maelezo then wazazi wanaingilia kati mapenzi yenu ikiwa kigezo nidini! Wanataka mwanaume abadili dini ndipo wataweza kuoana wakati mwanaume hayupo tayari, sasa kunamtafaruku kati yabinti nawazazi, nabinti nampenzi juu yaswala hilo, je ww ungefanyaje km ingekutokea hy!? *

thecuter 27.12.11 - 09:32am
Mwanamke anafata ushauri wawazazi wake xna, imekuwa ugomvi kati yenu kila mkilizungumzia hl..! Vp unamaamuzi gan ww? *

ladykeys 28.12.11 - 06:28am
hata ktk vitabu vya dini wanasisitiza unapotafta mchumba kigezo cha kwnz ni dini sasa iweje ukatafte mke aso dini yako? *

ladykeys 28.12.11 - 06:31am
hata ukisema umuoe cdhan km iyo ndoa itakua na baraka za wazazi *

thecuter 28.12.11 - 08:55am
ila mwanzo wamapenzi yenu alikuahidi kuwa atabadilisha dini ili mwuishi pamoja, sa mna miaka km miwili hv thn yanatokea *

classyk5 12.01.12 - 04:25pm
Swal ni je kama mwanamke yupo tayar we mwanaume unashndwa nn kua tayar kuchange din kama kwel unampenda baby wako? *

thecuter 12.01.12 - 06:13pm
c rahisi m nikabadili wakat najua unanipenda, nakama unanipenda utakuwa tayari kunifata kokote niendako,chochote nikifanyacho, xo inakuwaje ufanye vyote ushindwe kubadili dini? Mwanamke hana dini bhana cku zote! *

classyk5 12.01.12 - 06:22pm
Hahaha bdo unamawazo ya kale, mwanamke ana din sawa na mwanamke so kama unampenda utachange! ushaonesha unataka kutumia udhaifu wake wa kukupenda w *

classyk5 12.01.12 - 06:32pm
Sasa ndo ukute mwanamke ameshastuka kua ana din wazaz kikwazo change ww il mpunguze migogoro cz unaweza kumkosa *

thecuter 12.01.12 - 06:34pm
C kwmb naangalia udhaifu wake bali hata kwny vitabu vyadini vimeandika kuwa mwanamke atawaacha wazaz wake nakuambatana na mumewe, asa iwaje ung'ang'anie dini yakwenu wakati ukishaolewa huuuyo kwamumeo..! *

thecuter 12.01.12 - 06:43pm
Kwahy kwakuwa wazaz wake wamegoma ndo m nibadili? Naje nikabadili thn 2kaenda kwe2 wakaligomea hl naw utabadili? *

classyk5 12.01.12 - 06:54pm
Sasa umeprove mwenyewe kua hata wazaz wako wanaweza kukugomea so wote mpo sawa, kama vp mjisacrifice hasa ww mwanaume *

thecuter 12.01.12 - 07:21pm
Hahaha, w km ukibadili thn ukaja hm mambo shwari! nibora w utengwe nawazaz kulikoni mm, maisha yandoa yatakuwa mabovu *


* Reply
* FRIENDLYCLUB Forum


Search:
topics replies


* FRIENDLYCLUB

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store